Skip to main content

Video Gallery

Transcription

The Cabinet Secretary Hon. Ababu Namwamba, EGH visits Veteran Broadcaster Leonard Mambo Mbotela Transcript

Duration:11:48

(Ababu Namwamba, Cabinet Secretary of Kenya's Ministry of Youth Affairs, Creative Economy & Sports, and veteran broadcaster Leonard Mambo Mbotela shaking hands)
(Ababu Namwamba)Mwili iko sawa?
(Leonard Mambo) Kabisa!...Mimi niko sawa nashukuru. Si sawa sana
(Ababu Namwamba)Lakini naona sauti bado ni ile ile
[Laughter]
(Ababu Namwamba)Hata nikiseme tuende... (inaudible)
(Leonard Mambo)That's my son by the way
(Ababu Namwamba)Ahh very good.
(Voice out of screen) Pleasure to meet you again
Ababu Namwamba reaches out to greet the son
(Ababu Namwamba)
(Leonard Mambo)You were with him the other day... Safari Park
Ahh during the Legends events
(Ababu Namwamba Leonard Mambo Mbotela have a seat)
(Leonard Mambo)Karibu....karibu
(Ababu Namwamba) aaah...asante sana
(Leonard Mambo) yeah...
(Leonard Mambo)Karibu sana....karibu sana
(Ababu Namwamba) nilitaka kukujulia hali..
(Leonard Mambo) Waendelea vizuri...eh?
(Ababu Namwamba) tunaendelea salama..

(inaudible)
wewe ni mwenyewe
huyu Mancity

(Laughter)

(Ababu Namwamba)sasa nataka hiyo moto Hiyo. Hiyo moto ambayo wakenya watashabikia wilaya. Nataka sasa turejeshe tushabikie hapa nyumbani.
(Leonard Mambo)It's going to happen...Yes
(Ababu Namwamba)Tushabikie Harambe stars, Harambe Starlets, tushabikie kogalo...shabana, Murang'a silk, hizi team zetu za nyumbani
(Leonard Mambo)Kabisa Kabisa
Bila shaka kandanda itanawiri
(Leonard Mambo)aaah...ni kweli...ni kweli kabisa
(Ababu Namwamba)Alafu iculminate sasa 27th
(Ababu Namwamba) unajua sasa zile siku za kutangaza mpira
(Leonard Mambo)yes! you cannot compare those days na sasa. Wanajaribu lakini bado hawajafika
(Ababu Namwamba)Lakini sasa lazima turejeshe.
(Leonard Mambo) ..mmmh
(Ababu Namwamba) We have to go back there
(Leonard Mambo)mimi kitu kinaniudhi sasa hapa,
(Ababu Namwamba) ..mmmh

(Leonard Mambo) kwa mfano, kwa redio, mpira unachezwa, wanapiga stori. Stori ni nini katikati ya mpira
(Ababu Namwamba) Badala ya kutuletea...
(Leonard Mambo)yeah...mnapiga stori katikati ya matangazo

[laughter]

(Leonard Mambo Mbotela mimics a sports announcement)
(Leonard Mambo)goaaal!....
(Ababu Namwamba laughs)
(Leonard Mambo)Sasa....nani amefunga?
(Ababu Namwamba) nani amefunga
(Leonard Mambo)Amefunga namna gani?
(Ababu Namwamba)nani amepeana pass
(Leonard Mambo)exactly
(Ababu Namwamba) yes..
(Leonard Mambo)hiyo kitu inaniudhi sana sana

Nani hao niwaambie waje mafunzo
(Leonard Mambo)Inamuudhi hata msikilizaji ambaye anasikiliza mpira. What do you mean goal? imeingia namna gani? Nani amefunga?
(Leonard Mambo starts narrating like a sports anchor)

[laughter]

[laughter]

(Leonard Mambo Mbotela mimics a sports announcement)
(Leonard Mambo)goaaal!....
(Ababu Namwamba laughs)
(Leonard Mambo)Sasa....nani amefunga?
(Ababu Namwamba) nani amefunga
(Leonard Mambo)Amefunga namna gani?
(Ababu Namwamba)nani amepeana pass
(Leonard Mambo)exactly
(Ababu Namwamba) yes..
(Leonard Mambo)hiyo kitu inaniudhi sana sana
(Ababu Namwamba)Nani hao niwaambie waje mafunzo?
(Leonard Mambo) sio kama zama zetu...heee..zama zetu..
unatoka goal keeper, unakuja kwa defender...unatueleza jinsi mpira unavyopasiwa
(Leonard Mambo)exactly...mimi sitaki kujivuna lakini nikitangaza mpira, watu wengi wanaskiza tangazo bila...
(Leonard Mambo Mbotela mimics a sports announcement)

laughter...

(Ababu Namwamba)yaani hata wewe ingawa hauko pale, unaskiza...unaona lile boli ndani
(Leonard Mambo) kimo la kuku
(Ababu Namwamba)tena nakwambia...kimo la kuku...
laughter
(Ababu Namwamba) mpaka unashongesha redio
more laughter
(Leonard Mambo)siku hizi bana...aaah
(Leonard Mambo) Kuna watangazaji wajuaji
(Ababu Namwamba)mmmh
(Leonard Mambo)kuliko mpira wenyewe
(Ababu Namwamba)na ujuaji sio ujuaji wa mpira
(Leonard Mambo)eeeh...

laughter

(Ababu Namwamba)Inafaa waje tutoria. Waje mafunzo
(Leonard Mambo)nakwambia ukweli...hawajawahi jua
(Ababu Namwamba)No those were glory days
(Leonard Mambo)Oh yes
(Ababu Namwamba)Glory days....We must go back to those glory days
No but i think we are doing okay
(Ababu Namwamba, Leonard Mambo Mbotela and Mbotela's son are seen seated on the couches)
(Ababu Namwamba and Leonard Mambo Mbotela shake hands)
(Ababu Namwamba)Hongera shujaa!...
(Leonard Mambo)Asante sana
(Ababu Namwamba)aaaah...This is a national hero!
(Leonard Mambo)Kabisa
(Ababu Namwamba)National treasure.
(Leonard Mambo)yes
(Ababu Namwamba)Leonard Mambo Mbotela...
(Ababu Namwamba)big name...but a humble man

(Leonard Mambo)Nashukuru sana...nashukuru sana
(Ababu Namwamba)A treasured man
(Ababu Namwamba)and great Kenyan
(Leonard Mambo Mbotela does some actions with his hands)

[laughter]
(Leonard Mambo)mwisho kabisa....Zawadi yako nimepokea.
(Ababu Namwamba)kabisa
(Leonard Mambo) Ilipiga kona ikapiga...ikarudi

[Laughter]

(Leonard Mambo Mbotela mimics a conversation he's had with someone else)

[Laughter]
(Ababu Namwamba and Leonard Mambo Mbotela shake hands)
(Leonard Mbotela) Nashukuru sana, nasema asante sana sana
(Ababu Namwamba)Hiyo ni zawadi ya kusema kwanza tunakuenzi sana. Na kwamba hatujakusahau
(Leonard Mbotela) Kabisa Kabisa
(Ababu Namwamba)) Kwamba kwa yale yote umetendea taifa, hakuna malipo
(Leonard Mbotela) kabisa
(Ababu Namwamba) Hakuna chochote tunaweza fanya kupeana hayo malipo. Lakini hiyo ni zawadi ya kusema tunashukuru. Na taifa hili lina deni kwako. Kwa ile kazi umetendea taifa
(Leonard Mbotela)Asante asante, asante. Nafurahia kuskia hivyo. Na hakuna hata mmoja ambaye amenipa zawadi kama hiyo. Hakuna. You're the first one and you'll be last one. Nashukuru sana.
(Ababu Namwamba)I'm happy and may it be useful
(Leonard Mbotela) Lakini nilipanda milima na mabonde. Nikipanda hi mlima
(Leonard Mambo Mbotela mimics fatigue)

[laughter]

Ababu Namwamba towards Mbotels's son) So isaidie. Kama ni matibabu. ili mzee awe sawa sawa
(Mbotela's son) (inaudible)
(Mbotela's son) Mipango yako ya Ministry of Sports, Mungu atakuinia juu
(Ababu Namwamba) Shukran
(Mbotela's son) Hata hii history ya 2027, its for the first time. And it will never be forgotten.
(Ababu Namwamba)Kenya imetamani sana AFCON
(Leonard Mambo) it is true!

(Mbotela's son) it's coming. People are so happy. Na standard ya mpira, na watu kuenda kwa field itapanda.
(Ababu Namwamba) Yes, yes, washabiki warejee. Washabikie team za kenya, jinsi wanavyoshabikia Asenali, wapi, nataka washabikie timu za kenya vivyo hivyo
(Leonard Mambo's son)Na pia vile tulicheza na Russia.
(Ababu Namwamba) Yes
(Leonard Mambo's son) Unbelievable
(Ababu Namwamba)The game was very good. Did you watch the game?
(Leonard Mambo's son)Yes
(Leonard Mambo's son)We follow you

(Ababu Namwamba)aah..uliwatch Harambe stars wakicheza na Russia?
(Leonard Mambo)Kabisaa, mi niliangalia hapa live live...
(Ababu Namwamba) Ilikuwa live KBC...karibu tuwafunge.
(Leonard Mambo's son)Yes
(Leonard Mambo's son)And this is Russia
(Inaudible discussion about the game with Russia)

(Leonard Mambo)what happened?
(Ababu Namwamba)Yes, yes, it was a mascular injury
(Leonard Mambo) ok, lakini the second goal keeper alifanya kazi nzuri
(Ababu Namwamba)yes, yes
(Ababu Namwamba)they played very well
(Leonard Mambo)very well
(Leonard Mambo) sasa, Ababu Namwamba, binadamu sisi hatupendani. Haya ni mambo ambayo nazungumza kila siku...jee huu ni ungwana?
Mtu anakuonyesha meno, anakuchekesha, unafikiri ni rafiki yako mkubwa, lakini ni mtu mnafiki! Mtu mnafiki ni mtu hypocrite. Sababu..anakua mahali amekusengenyaaa, amekuchimbaaaaa, alafu akitoka hivi alafu anakutana na wewe..

(Leonard Mambo mimics a handshake)

(Leonard Mambo) Vipi! Mambo!
(Ababu Namwamba laughs)
(Leonard Mambo) you're doing very well bwana, sports tu! aaaah...kumbe kule half an hour ago, amekumaliza, amekuchimba!
(Ababu Namwamba) mmh
(Leonard Mambo) kwa hivyo...advice yangu kwako...fanya kazi yako. Na mtegemee mtu anaitwa Mwenyezi Mungu.
(Ababu Namwamba)Amina
(Leonard Mambo)Kabisa kabisa..Mungu tu! macho yako yote yamwangalie Mungu...na Mungu atakupea mpaka
so tunafurahia. Sio wote wanaofurahia ulivyo pata hiyo kazi. Sio wote ulivyo wanafurahia vile uko young namna hii. Sio wote vile unavyotembea na mkubwa...hawafurahii!! They are not happy!

(Ababu Namwamba) mmh
(Leonard Mambo)Pretenders!
(Ababu Namwamba) mmh
(Leonard Mambo)Hypocrites! wakubwa
 [Laughter]
(Leonard Mambo) I'm telling you...sio wote watakupenda
(Ababu Namwamba) mmh
(Leonard Mambo) sio wote wanakupenda...kuna wale wanakuchukia

(Ababu Namwamba) mmh....

(Leonard Mambo)kuna wakati ambapo mulikua na....shuffle inakuja
(Ababu Namwamba) yes
(Leonard Mambo)kuna watu wanasema he! yaani hawangeambiwa na mtu...hawajatajiwa na mtu yeyote
(Leonard Mambo)Ababu anaenda leo!
[Leonard Mambo slams the table]
(Ababu Namwamba) mmh

(Leonard Mambo)Ababu hayuko. Nani amekwambia?
(Ababu Namwamba laughs)
(Leonard Mambo)Wakaenda wakaketi mpaka mwishooo...wanaona Ababu bado yuko

[Laughter]

(Leonard Mambo's son)its true
(Ababu Namwamba) mmmh
(Leonard Mambo's son) tulikua tunaomba tu usitolewe hapo, you understand it, and utaifikisha,...where it's supposed to be
(Ababu Namwamba) excellent
(Leonard Mambo's son)you have the zeal, the vision
(Leonard Mambo) hawajui kwamba, Mungu ako na wewe

(Ababu Namwamba)mmh

(Leonard Mambo's son)atafungua milango
(Leonard Mambo) Thank you so much indeed!
(Ababu Namwamba)kwa ile miaka yote ambayo umehudumia taifa hili
(Leonard Mambo) Amen
(Ababu Namwamba) na umehudumia taifa hili kwa miongo mitano, kwa ma rais wote watano.
(Leonard Mambo)kabisa
(Ababu Namwamba) rais Jomo Kenyatta, Rais Daniel Torotich Arap Moi, Rais Mwai Kibaki, Rais Uhuru Kenyatta sasa Rais William Samoei Ruto
(Leonard Mambo)kabisa
(Ababu Namwamba)..wote umehudumia taifa hili
(Leonard Mambo) kabisa
(Ababu Namwamba) hii ni kusema Hongera
[Ababu Namwamba hands over a glass trophy to Leonard Mambo]
(Leonard Mambo) asante sana sana sana sana
(Ababu Namwamba)Hongera!
[Ababu Namwamba, Leonard Mambo and Leonard Mambo's son walk outside holding hands]

(Leonard Mambo) I hope you had no problem coming in
(Ababu Namwamba) No problem, we came in very easy..bila shida
(Leonard Mambo) Asante sana
[Leonard Mambo walks them outside the gate and shakes hands with Ababu Namwamba]
(Leonard Mambo) Thank you so much!
(Ababu Namwamba) Akubariki Mola. Kila la heri
(Leonard Mambo) By the way...ulikwenda shule gani Kiswahili?
[Ababu Namwamba laughs]

(Leonard Mambo) Kiswahili chako kizuri kabisa!
(Ababu Namwamba) aaah. nimeshukuru! Thank you, thank you!
[Ababu Namwamba shakes hands with Leonard Mambo as he departs]